MGAWANYIKO WA TABIA ZA BINADAMU
Wataalamu wa mambo ya saikologia na elimu ya binadamu wamegawanya tabia za binadamu kwa magroup manne tofauti
Melancolin
Fragmetic
Sanguine na
Colerick
Makundi yote siyo kwamba yanatabia ambazo haziwezi kujirudia kwa group nyingine kuna baadhi ya tabia muda mwingine huingiliana japo ni mara chache hujionesha kitu kama hicho
Melancolin
Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo-wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)-ni wagunduzi wa mambo makubwa...
Thursday, June 18, 2015
Monday, June 15, 2015
MSAADA KWA MARADHI YA KISUKARI

KISUKARI NI NINI ?
Kisukari ni ugonjwa wa kongosho, wakati uzarishaji wa Insulini au utolewaji wake haufanyi kazi vizuri, na ikiwa hali hii haitadhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo makubwa kwenye macho, figo, neva, mishipa ya damu, Ini na moyo.
Kuna aina kuu mbili za kisukari:
Kisukari aina ya kwanza, ambapo Insulini inakuwa tegemezi (insulin-dependent); hapa kongosho halitengenezi kabisa insulini au linaitengeneza kwa kiasi kidogo...