
KILIMO CHA BIASHARA:KITUNGUU SWAUMU
Maandalizi ya shamba
Lima shamba kwa trekta, kwa ng’ombe ama kwa jembe la mkono kwa kina cha sentimita
30 hadi 45
Weka matuta ya mwinuko yenye upana wa mita 1 hadi mita 1.5 kutoka kati kati ya
tuta na tuta na upana wa mita 1
Maandalizi ya Mbegu
Kwanyua vipande/Vikonyo vya vitunguu sumu tayari kwa ajili ya kupanda katika
nafasi. Mbegu sharti iwe imekaa kwa miezi mitano hadi sita tangu kuvuna ili...