Monday, March 16, 2015

HABARI YA MUDA HUU/ BREAKING NEWS !!!!!!

BAAADHI YA MABWENI MABIBO HOSTELI YASHIKA MOTO !!!!  Taarifaa iliyojili kwa sasa inasema jengo la mabibo hostel upande wa kina dada lashika Moto. Inasemekena chanzo cha huo moto ni hitilafu ya Umeme,.Juhud binafsi znafanyika kuondoa Mali ndogo ndogo katika eneo la tukio  Baadhi ya wakazi wakishuhudia eneo la tukio  Baadhi ya magodoro na mali nyingine vikiwa nje ya jengo...

Sunday, March 15, 2015

ILE YANGA YA WIKI IMETUPIA MKONO TAREHE 15

PICHA TOFAUTI YANGA IKIIVURUGA PLATINUM FC MKONO  Huu ndio Mpira uliotumika katika Mchezo wa leo baina ya Yanga na FC Platinum katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.  Kikosi cha Yanga.  Kikosi cha FC Platinum kabla ya mechi  Beki wa Yanga,Kelvin Yondani akiondosha hatari langoni kwake wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini...