Monday, March 16, 2015

HABARI YA MUDA HUU/ BREAKING NEWS !!!!!!

BAAADHI YA MABWENI MABIBO HOSTELI YASHIKA MOTO !!!! 

Taarifaa iliyojili kwa sasa inasema jengo la mabibo hostel upande wa kina dada lashika Moto.
Inasemekena chanzo cha huo moto ni hitilafu ya Umeme,.Juhud binafsi znafanyika kuondoa Mali ndogo ndogo katika eneo la tukio



 Baadhi ya wakazi wakishuhudia eneo la tukio

 Baadhi ya magodoro na mali nyingine vikiwa nje ya jengo

Related Posts:

  • MJUE MWANAMKE ALIYEKUWA NA NYWELE ZENYE VICHWA VYA NYOKAMEDUSA Mwanamke wa kutishaa,Mwanamke mwenye kichwa chenye Vichwa vya nyoka katika kila unywele ulio kichwani mwakeLakin unaweza kuamini  mwanamke huyu alikuwa ni mzurii kiasi cha kumvutia kila mwanamme amtazamae ?Hu… Read More
  • ONA JINSI KUNGURU WANAVYOOMBOLEZA MISIBA YAOKUNGURU NA MAISHA YAOUnaweza sema ni wasumbufu,Vidokozi,kukuangushia kinyesi kisha wakawa kama wanafurahia tukio kwao ni jambola kawaida saaana,na hawa ndege aisee ni wachukuzi wa chochote kitakachokuwa mbele yao.Lakin hawa j… Read More
  • SIKU KUU ZA TANZANIA 2019 KALENDA YA SIKU KUU 2019 TANZANIA DateDayHoliday 1 JanTueNew Year's Day 12 JanSatZanzibar Revolutionary Day 7 AprSunKarume Day 19 AprFriGood Friday 22 AprMonEaster Monday 26 AprFriUnion Day 1 MayWedLabour Day 4 JunTueEi… Read More
  • ZIJUE FAIDA ZA LIMAO HILO NDO LIMAOMuhimu ni kuliandaa vizuri na kufata maelekezoLeo ningependa kuwapa kitu tofauti kidogoKila mtu analijua limao na faida zake zipo nyingi  tu, ikiwemo kutumika kutengenezea dawa za tiba mbalimbalimfano… Read More
  • IJUE SARATANI YA SHINGO YA KIZAZIUnapozungumzia Binaadam na viumbe wengine ambao huanza maisha kwa kuzaliwa bila shaka kabisa mwanamke ndio kiungo muhimu katika kufanikisha Jambo zima,Kutokana na hilo wanawake ni moja ya makundi muhimu katika jamii yetu. Mwa… Read More

0 comments:

Post a Comment