
Unapozungumzia Binaadam na viumbe wengine ambao huanza maisha kwa kuzaliwa bila shaka kabisa mwanamke ndio kiungo muhimu katika kufanikisha Jambo zima,Kutokana na hilo wanawake ni moja ya makundi muhimu katika jamii yetu. Mwanamke ni mama, na ndiye kiumbe pekee ambaye hufanya kazi ya kuleta uhai duniani.
Lakini mwanamke huyu hivi sasa yu mashakani, kwani ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi umeshika kasi nchini, hivyo hutesa na hatimaye kuua...