
HILO NDO LIMAOMuhimu ni kuliandaa vizuri na kufata maelekezoLeo ningependa kuwapa kitu tofauti kidogoKila mtu analijua limao na faida zake zipo nyingi tu, ikiwemo kutumika kutengenezea dawa za tiba mbalimbalimfano tiba ya ngozi,tiba ya kifua na nyingine nying nyingnezo.lakini leo nakuonesha faida tatu tu kutoka kwenye limaoLakufahamu kwanza limao ni tunda lenye umaji maji wa acid, yaani ni tunda lenye citric acidna uwingi wa...