
KUNGURU NA MAISHA YAOUnaweza sema ni wasumbufu,Vidokozi,kukuangushia kinyesi kisha wakawa kama wanafurahia tukio kwao ni jambola kawaida saaana,na hawa ndege aisee ni wachukuzi wa chochote kitakachokuwa mbele yao.Lakin hawa jamaa bana huenda ndo ndege wenye Akili nyingi kuliko wengine,Na hawafanyi kitu bila kujihakikishia kama ni hatari au laaah,Ndio huenda ni kweli niyasemayooo,Embu jaribu Siku mfukuze kwa kutishia kama unamrushia jiweAkishagundua...