Tuesday, September 19, 2017

IJUE SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Unapozungumzia Binaadam na viumbe wengine ambao huanza maisha kwa kuzaliwa bila shaka kabisa mwanamke ndio kiungo muhimu katika kufanikisha Jambo zima,Kutokana na hilo wanawake ni moja ya makundi muhimu katika jamii yetu. Mwanamke ni mama, na ndiye kiumbe pekee ambaye hufanya kazi ya kuleta uhai duniani. Lakini mwanamke huyu hivi sasa yu mashakani, kwani ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi umeshika kasi nchini, hivyo hutesa na hatimaye kuua...

Sunday, September 17, 2017

MAKONDA ATANGAZA NEEMA YA VIWANJA/HOTUBA

RC MAKONDA ASHUSHA NEEMA KWA WATUMISHI WA UMMA DAR ES SALAAM HOTUBA YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA WATUMISHI WAKE NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM. Watumishi wa Manispaa zote, idara za AFYA (wauguzi, madaktari, maafisa afya), ELIMU  (walimu Shule za Msingi, na sekondari, waratibu wa elimu kuanzia kata, wilaya na Mkoa,  Askari wa Vikosi vyote Jeshi la Polisi(kanda maalum, mikoa ya Kipolisi temeke, kinondoni, ilala, Ubungo, kigamboni,...

CHANZO CHA MOTO NYUMBA YA ZITO KABWE

Siku moja baada ya tukio la kuungua kwa nyumba ya mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe iliyopo katika eneo la Kibingo kata ya Mwandiga mkoani humo, Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusiana na chanzo cha moto huo pamoja na mali zilizoteketea. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha moto huo ni betri za umeme wa jua zilizokuwa ndani kuzidiwa nguvu na kisha kulipuka. Aidha, Kamanda...